Luka 10:37
Print
Mwanasheria akajibu, “Ni yule aliyemsaidia.” Yesu akasema, “Basi nenda ukafanye kama alivyofanya.”
Yule mwalimu wa sheria akajibu, “Ni yule aliyemwonea huruma.” Yesu akasema, “Nenda ukafanye vivyo hivyo.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica