Luka 12:8
Print
Ninawaambia, mkinikiri mbele za watu, ndipo nami nitakiri kuwa ninyi ni wangu mbele za Mungu na malaika.
“Ninawaambia, kila atakayenikiri mbele za watu, pia mimi Mwana wa Adamu nitamkiri mbele ya malaika wa Mungu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica