Luka 19:32
Print
Wafuasi wawili wakaenda kwenye mji ule. Wakamwona punda kama Yesu alivyowaambia.
Wale waliotumwa wakaenda, wakakuta kila kitu kama Yesu alivyokuwa amewaambia.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica