Luka 22:29
Print
Hivyo ninawapa mamlaka kutawala pamoja nami katika ufalme ambao Baba yangu amenipa.
na kama Baba yangu alivyonipa mamlaka ya kutawala; mimi nami nina wapa ninyi mamlaka hayo hayo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica