Luka 22:38
Print
Wafuasi wakasema, “Tazama Bwana, hapa kuna panga mbili.” Yesu akawaambia, “Nyamazeni, acheni mazungumzo ya namna hiyo!”
Wakamwambia, “Bwana, tazama hapa kuna mapanga mawili.” Akawajibu, “Inatosha!. Yesu Asali Kwenye Mlima Wa Mizeituni
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica