Luka 22:42
Print
“Baba, ukiwa radhi, tafadhali usinifanye ninywe katika kikombe hiki. Lakini fanya unalotaka wewe, siyo ninalotaka mimi.”
akisema, “Baba, kama ni mapenzi yako, niondolee kikombe hiki cha mateso. Lakini si kwa mapenzi yangu, bali mapenzi yako yafanyike.” [
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica