Font Size
Luka 22:57
Lakini Petro akasema si kweli. Akasema, “Mwanamke, simfahamu mtu huyo!”
Lakini Petro akakana akasema, “Ewe mwanamke, hata simjui!”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica