Luka 22:60
Print
Lakini Petro akasema, “Wewe, wala sijui unazungumza kuhusu nini!” Alipokuwa bado anazungumza, jogoo aliwika.
Petro akajibu, “Mimi sijui unalosema!” Na wakati huo huo, akiwa bado anazun gumza, jogoo akawika.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica