Luka 22:67
Print
Wakamwambia, “Tuambie ikiwa wewe ni Masihi.” Yesu akawaambia, “Hamtaniamini ikiwa nitawaambia kuwa mimi ni Masihi.
Wakamwambia, “Kama wewe ndiye Kristo, tuambie.” Yesu akawa jibu, “Hata nikiwaambia hamtaamini,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica