Luka 23:3
Print
Pilato akamwuliza Yesu, “Wewe ni mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Ndiyo, unaweza kusema hivyo.”
Basi Pilato akamwuliza Yesu, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akamjibu, “Ni kama ulivyosema.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica