Luka 23:56
Print
Kisha wakaenda kuandaa manukato yanayonukia vizuri ili kuupaka mwili wa Yesu. Siku ya Sabato walipumzika, kama ilivyoamriwa katika Sheria ya Musa.
Kisha wakarudi nyumbani wakaandaa marashi na manukato ya kuupaka huo mwili. Lakini waka pumzika siku ya sabato kama ilivyoamriwa.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica