Marko 10:8
Print
Na hao wawili wataungana pamoja na kuwa mwili mmoja.’ Nao si wawili tena bali ni mwili mmoja.
Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica