Marko 14:64
Print
Ninyi wote mmesikia akimtolea Mungu matusi.” Wote walimhukumu na kumwona kwa anastahili kifo.
Ninyi wote mmemsikia akikufuru! Mna toa hukumu gani?” Wote wakamhukumu kwamba ana hatia na auawe.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica