Font Size
Marko 15:14
Lakini Pilato akawauliza, “Kwa nini? Je, amefanya kosa gani?” Lakini wote wakapiga kelele zaidi, “Muue kwenye msalaba!”
Akawauliza, “Kwa nini? Amefanya kosa gani?” Lakini wao wakapiga kelele kwa nguvu zaidi, “Msulubishe!”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica