Font Size
Marko 8:26
Kisha Yesu akamwambia arudi nyumbani, na pia akamwambia, “Usiingie kijijini.”
Yesu akamruhusu aende nyumbani kwake akisema, “Hata kijijini usipitie.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica