Marko 8:32
Print
Yesu aliwaambia haya kwa uwazi bila kuwaficha. Baada ya mafundisho haya Petro alimchukua Yesu pembeni na kuanza kumkemea.
Aliyasema haya wazi wazi. Ndipo Petro akam chukua kando akaanza kumkemea.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica