Mathayo 12:18
Print
“Hapa ni mtumishi wangu, niliyemchagua. Ndiye ninayempenda, na ninapendezwa naye. Nitamjaza Roho yangu, naye ataleta haki kwa mataifa.
“Mtazameni mtumishi wangu niliyemchagua, mpendwa wangu ambaye moyo wangu unapendezwa naye. Nitaweka Roho yangu juu yake , naye atatangaza haki kwa watu wa mataifa.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica