Mathayo 12:24
Print
Mafarisayo waliposikia hili, walisema, “Mtu huyu anatumia nguvu za Shetani kufukuza mashetani kutoka kwa watu. Beelzebuli ni mtawala wa mashetani.”
Lakini Mafarisayo waliposikia haya wakasema, “Mtu huyu anatoa pepo kwa uwezo wa Beelzebuli, mfalme wa pepo wote.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica