Font Size
Mathayo 12:26
Hivyo ikiwa Shetani anayafukuza mashetani yake mwenyewe, anapigana kinyume chake yeye mwenyewe, na ufalme wake hautaishi.
Na kama shetani anamfukuza shetani, atakuwa amega wanyika yeye mwenyewe. Basi ufalme wake utaendeleaje?
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica