Font Size
Mathayo 17:13
Ndipo wafuasi wakaelewa kuwa Yesu aliposema kuhusu Eliya, alikuwa anazungumza juu ya Yohana Mbatizaji.
Ndipo wale wanafunzi wakaelewa kuwa alikuwa anazungumza kuhusu Yohana Mbatizaji.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica