Mathayo 17:26
Print
Petro akajibu, “Watu wengine ndiyo hulipa kodi.” Yesu akasema, “Basi wana wa mfalme hawapaswi kulipa kodi.
Petro akamjibu, “Kutoka kwa wageni.” Yesu akam wambia, “Kwa hiyo jamaa zao wamesamehewa.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica