Font Size
Mathayo 1:16
Yakobo alikuwa baba yake Yusufu, Yusufu alikuwa mume wa Mariamu. Na Mariamu alimzaa Yesu, anayeitwa Masihi.
Yakobo alikuwa baba yake Yosefu ambaye alikuwa mumewe Mar ia, aliyemzaa Yesu anayeitwa Kristo.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica