Font Size
Mathayo 1:1
Hii ni historia ya ukoo wa Yesu, Masihi. Alitoka katika ukoo wa Daudi, aliyetoka katika ukoo wa Ibrahimu.
Kumbukumbu ya vizazi vya ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi na wa Abrahamu:
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica