Mathayo 1:23
Print
“Sikiliza! Msichana bikira atapata mimba na atazaa mtoto wa kiume. Mtoto huyo ataitwa Emanueli.” (Yaani “Mungu yu pamoja nasi”.)
“Tazama bikira atachukua mimba, naye atamzaa mtoto wa kiume nao watamwita Imanueli,” maana yake, “Mungu pamoja nasi”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica