Salmoni alikuwa baba yake Boazi. (Mama yake Boazi alikuwa Rahabu.) Boazi alikuwa baba yake Obedi. (Mama yake Obedi alikuwa Ruthu.) Obedi alikuwa baba yake Yese.
Salmoni alikuwa baba yake Boazi na mama yake Salmoni alikuwa Rahabu. Boazi alikuwa baba yake Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruti; Obedi alikuwa baba yake Yese;