Mathayo 3:8
Print
Muibadili mioyo yenu! Na muoneshe kwa vitendo kuwa mmebadilika.
Basi thibitisheni kwa mwenendo mwema kwamba mmeziacha dhambi zenu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica