Mathayo 4:20
Print
Mara moja, Simoni na Andrea wakaziacha nyavu zao na kumfuata Yesu papo hapo.
Wakaziacha nyavu zao mara moja, wakamfuata.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica