Mathayo 5:1
Print
Yesu alipoyaona makundi ya watu, alipanda kwenye kilima na kukaa chini. Wanafunzi wake walimjia Yesu.
Yesu alipoona umati wa watu, alipanda mlimani akaketi chini. Wanafunzi wake wakamjia,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica