Mathayo 5:44
Print
Lakini ninawaambia wapendeni adui zenu na waombeeni wale wanaowatendea vibaya.
Lakini mimi ninawaambia, wapendeni maadui zenu na waombeeni wanaowatesa,
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica