Ufunuo 19:2
Print
Hukumu zake ni za kweli na za haki. Mungu wetu amemwadhibu kahaba. Ndiye aliyeiharibu dunia kwa uzinzi wake. Mungu amemwadhibu kahaba kulipa kisasi cha vifo vya watumishi wake.”
Maana hukumu zake ni za kweli na haki, amemhukumu yule kahaba mkuu aliyeuharibu ulimwengu kwa uasherati wake. Mungu amelipiza kisasi kwa ajili ya damu ya watumishi wake.”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica