Ufunuo 21:17
Print
Malaika akaupima ukuta pia. Kimo cha ukuta kilikuwa ni mita 60 kwenda juu. (Malaika alikuwa anatumia vipimo ambavyo watu hutumia.)
Kisha akapima na ukuta wake, urefu wake ulikuwa zaidi ya meta sitini kwa kipimo cha binadamu alichokuwa akitumia huyo malaika.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica