Ufunuo 5:12
Print
Kwa sauti kuu malaika walisema: “Mamlaka yote, utajiri, hekima na nguvu ni kwa Mwanakondoo aliyeuawa. Anastahili kupokea heshima, utukufu na sifa!”
Nao waliimba kwa sauti kuu, “Mwana -Kondoo aliyeuawa anasta hili kupewa uweza na utajiri na hekima na nguvu na heshima, na utukufu na sifa!”
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica