Ufunuo 7:1
Print
Baada ya hili kutokea, niliwaona malaika wanne wamesimama kwenye pembe nne za dunia wakiwa wamezishikilia pepo nne za dunia. Walikuwa wanazuia upepo kupuliza katika nchi au katika bahari au kwenye mti wowote.
Baada ya haya nikaona malaika wanne wamesimama katika pembe zote nne za dunia wakizuia pepo nne za dunia, ili upepo usivume nchi kavu wala baharini wala kwenye mti wo wote.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica