Wazee na wenye uhai wanne walikuwa pale. Malaika wote walikuwa wamesimama kuwazunguka na kukizunguka kiti cha enzi. Malaika wakainamisha nyuso zao, wakasujudu mpaka chini mbele ya kiti cha enzi, wakamwabudu Mungu.
Na wale malaika wote wakasi mama kuzunguka kile kiti cha enzi na wale wazee na wale viumbe hai wanne, wakaanguka chini mbele ya kile kiti cha enzi wakamwab udu Mungu,