Ufunuo 9:13
Print
Malaika wa sita alipopuliza tarumbeta yake, nilisikia sauti ikitoka katika pembe zilizo katika pembe nne za madhabahu ya dhahabu iliyo mbele za Mungu.
Malaika wa sita akapiga tarumbeta yake, nami nikasikia sauti ikitoka katika zile pembe nne za madhabahu iliyoko mbele ya Mungu.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica