Tito 3:7
Print
Kwa neema yake Mungu alituweka huru mbali na dhambi. Akatufanya kuwa warithi wake tulio na tumaini la uzima wa milele.
Na tukishahesabiwa haki kwa neema yake, tupate kufanywa warithi wa uzima wa milele tunaoutumainia .
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica