Yohana 6:36
Print
Nilikwisha kuwaambia mapema kuwa mmeona kile ambacho naweza kufanya, lakini bado hamuniamini.
Lakini kama nilivyokwisha waambia, mnaniona lakini bado hamtaki kuamini.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica