Akawajibu, “Mtu yule wanayemwita Yesu alitengeneza tope akayapaka macho yangu. Kisha akaniambia ‘Nenda kanawe kwenye bwawa la Siloamu.’ Hivyo nikaenda kule na kunawa, na ndipo nikaweza kuona.”
Akawaam bia, “Yule mtu aitwaye Yesu alitengeneza tope akanipaka machoni akaniambia niende nikaoshe uso katika kijito cha Siloamu. Nikaenda na mara baada ya kuosha uso nikaweza kuona!”