Mathayo 12:34
Print
Ninyi nyoka! Ni waovu sana. Mnawezaje mkasema chochote kilicho chema? Kile ambacho watu husema kwa midomo yao kinatoka katika yale yaliyojaa katika mioyo yao.
Ninyi uzao wa nyoka! Mnawe zaje kunena mema wakati ninyi ni waovu? Kwa maana mtu husema yaliyojaa moyoni mwake.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica