Font Size
Mathayo 4:15
“Sikilizeni, enyi nchi ya Zabuloni na Naftali, nchi iliyo kando ya barabara iendayo baharini, ng'ambo ya Mto Yordani! Galilaya, wanapokaa Mataifa.
“Nchi ya Zabuloni na nchi ya Naftali, kuelekea baharini, ng’ambo ya Yordani, Galilaya ya watu wa mataifa -
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica