Ufunuo 19:7
Print
Tushangilie na kufurahi na kumpa Mungu utukufu! Mpeni Mungu utukufu, kwa sababu arusi ya Mwanakondoo imewadia. Na bibi arusi wa Mwanakondoo amekwisha jiandaa.
Tufurahi na kushangilia na kumtukuza maana harusi ya Mwana-Kondoo imefika na bibi harusi wake amejitayar isha.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU) © 2017 Bible League International; Neno: Bibilia Takatifu (SNT) Copyright © 1989 by Biblica